Neymer atoa onyo kwa Real Madrid kupitia kwa tatoo zake mguuni

July 2024 · 1 minute read

Mshambulizi hatari katika timu ya Paris Saint-Germain, Neymer alionekana kujiandaa vilivyo huku akitarajia kumenyana na wenzao wa Real Madrid siku ya Jumatano, Februari 14.

Kupitia kwa michoro mipya mwilini mwake yaani tatoo, Neymer alidhihirisha wazi kuwa yu tayari kupambana na Real Madrid kuhakikisha kuwa klabu chake kipya chatwaa ushindi dhidi ya miamba hao wa soka kutoa Uhispania.

Habari Nyingine: Kula kwa macho: Dadake Diamond awaonyesha mashabiki chupi yake akiwa jukwaani

Habari Nyingine: Picha za ndani ya maisha ya pasta mrembo zaidi wa kike Kenya, Lucy Natasha

Kwenye tatoo hiyo iliyochapishwa na mchoraji wake, Adao Rosa katika mtandao wa Instagramu, Neymer alikuwa amechorwa kombe la Ligi Kuu Bara Uropa.

Neymer alihamia PSG baada ya kuhudumia Barcelona kwa muda wa miaka minne, akiuzwa kwa €222.

Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4J6gpRmpZ6xnZq%2Fbq3TqJhmp56uvG631ppkq52RoXqurcOroJ1lm6q9qsDImmSkr5FiwaLAzqhks5mbmnqus9SupaJmmKm6rQ%3D%3D